Historia ya Kampuni

Baada ya kufanya kazi migodini kwa muda mrefu kama mafundi na washauri, hatuna budi kuwa wawezeshaji makini katika swala Zima la UCHIMBAJI MADINI.

Tangu mwaka 2009 tunajenga shafts kwa zege na kwa timba, tunatengeneza makarasha na minara, kwa bomba na kwa channels. Kwa makampuni ya uchimbaji na wachimbaji binafsi.

Ofisi kuu ipo Saza, Songwe, Tanzania. Tunahudumia maeneo ya Chunya, Saza, Itumbi, Mwanza, Katavi, Tanga, Shinyanga, na Geita.

Picha ya Ofisi

Dhamira Yetu

Kutoa huduma bora za ujenzi wa shafts, kutengeneza minara, na kukarabati migodi kwa kutumia teknolojia ya kisasa na ujuzi wa kitaalam.

Maono Yetu

Kuwa kampuni ya kielelezo katika sekta ya uchimbaji madini nchini Tanzania, ikitoa huduma za hali ya juu na kuchangia maendeleo ya uchumi wa nchi.

Maadili Yetu

Uaminifu, ubora, usalama, na huduma bora kwa wateja wetu. Tunajali mazingira na tunafanya kazi kwa kuzingatia miongozo ya usalama.

Wabobezi Wetu

Bwana Ignas

Mkurugenzi Mkuu

Ubunifu wa wabobezi kutoka Ziwa Tanganyika Kigoma

Bwana Benjamin

Mkurugenzi wa Ujenzi

Ubunifu wa wabobezi kutoka Ziwa Tanganyika Kigoma

Takwimu za Kampuni

15+
Miaka ya Uzoefu
50+
Miradi Imekamilika
8
Mikoa Tunahudumia
100%
Uthibitisho wa Usalama

Maeneo Tunayohudumia

Chunya
Saza
Itumbi
Mwanza
Katavi
Tanga
Shinyanga
Geita